2 Chronicles 26:1

Uzia Mfalme Wa Yuda

(2 Wafalme 14:21-22; 15:1-7)

1 aKisha watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, nao wakamfanya mfalme mahali pa Amazia baba yake.
Copyright information for SwhKC